LETEIPA THE KING

- Nipende Mimi Lyrics

Verse 1
Umeketi, kwa corner, Ukifikiria,
Vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia,
Any shoe that, you admire, inawa ndogo kwako
dear,
Mpaka sasa, umeamua, peku kutembea,
Umesahau kiatu chako Kipo,
Kimetengezwa tu kwa ajili yako

Hook
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,

Chorus
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha
kilio,
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio,
They used you na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi...
Nipende mimi

Verse 2
You think that, you are lonely,
Coz no one is close to you,
And even those that, are closer, they never
bother to fight for you,
Umeapa kamwe, hutawahi penda,
Juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni
watakutenda,
Give me a chance to prove your statement is
wrong,
Naapa kwa wote wanaoskiza this song

Hook
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha
kilio,kilio kiliiiiioo

Hook
Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,

Chorus
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha
kilio,
Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio,
They used you na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi...
Nipende mimi

Watch Leteipa The King Nipende Mimi video

Facts about Nipende Mimi

✔️

Who wrote Nipende Mimi lyrics?


Nipende Mimi is written by Leteipa The King.
✔️

When was Nipende Mimi released?


It is first released on January 17, 2022 as part of Leteipa The King's album "Teipas Tales" which includes 18 tracks in total. This song is the opening track on this album.
✔️

Which genre is Nipende Mimi?


Nipende Mimi falls under the genre Worldwide.
✔️

How long is the song Nipende Mimi?


Nipende Mimi song length is 3 minutes and 56 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
42059d89fe25347be81675d213d5861a

check amazon for Nipende Mimi mp3 download
these lyrics are submitted by FreddyOent
Songwriter(s): Leteipa the King
Record Label(s): 2022 Leteipa Kelvin Music
Official lyrics by

Rate Nipende Mimi by Leteipa The King (current rating: 7.54)
12345678910

Meaning to "Nipende Mimi" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts