LETEIPA THE KING

- Nane Ondoa Moja Lyrics (feat. Bonnie Winsome)

#VERSE (Leteipa the King)
sura cute kama Shiro
shape ya Akinyi
mtoto anavutia
yaani kedo keoyoyo
utamu Hadi kwa ngoro
anavyokata kiuno
juu mpaka chini
nahisi kubugia
kwa ukafi na uchoyo
nasahau my sorrow
unavyoniroga we umeniwahi
utamu wa soda siwezi denie
ati wanabonga we haunifai
but watajinyonga si tukijinice
my marabwani babe boo
wee ndo nyama kitunguu
biringanya thufu tu
thufu tuu
mbele yako sikukuu
nyuma yako kichuguu
Kam tuunde wajukuu
wajukuu

#CHORUS (Leteipa the King)
(nane ondoa Moja ah ah aha)
ka unapuliza moto
hebu Anika nione
(nane ondoa Moja)
ka unaosha mtoto
hebu thigitha nipone
(nane ondoa Moja ah ah aha)
unanipandisha joto
leta weeedah nichome
(nane ondoa Moja)
nisahau Niko msoto
zikirarika nishone

#HOOK ( Bonnie winsome)
wine fi dih beat
jiggle Fi dih beat
spin Pon dih beat
giving sweet kinda love
gal you make it lit
vile unakil
you do it like a drill
vile love unaseal

#VERSE (Bonnie winsome)
Mtoto ripe ripe sema lugha vujuven
spin hiyo bompa kama from Japan
ukistep in tunacut the chain
vilevile ukibinga bado ni insane
nipe tamtam chew kama mbinginji
nitadrive ndani mita kama sixty six
jackpot nakawayne kwangu bed ni fixed
donda nikidandia nakachop kwa speedie
wacha katambe walae shourtie
unavyonipa haucheki my bae
acha tukesi baadae
vile unanimada bae am ready to die
wacha katambe walaeo
love unavyonipa haufakeit my bae
acha tukesi baadae
vile unanimada bae am ready to die

#CHORUS (Leteipa the King)
(nane ondoa Moja ah ah aha)
ka unapuliza moto
hebu Anika nione
(nane ondoa Moja)
ka unaosha mtoto
hebu thigitha nipone
(nane ondoa Moja ah ah aha)
unanipandisha joto
leta weeedah nichome
(nane ondoa Moja)
nisahau Niko msoto
zikirarika nishone

#HOOK ( Bonnie winsome)
wine fi dih beat
jiggle Fi dih beat
spin Pon dih beat
giving sweet kinda love
gal you make it lit
vile unakil
you do it like a drill
vile love unaseal

#HOOK2 (Bonnie winsome)
wacha katambe walae shourtie
unavyonipa haucheki my bae
acha tukesi baadae
vile unanimada bae am ready to die
wacha katambe walaeo
love unavyonipa haufakeit my bae
acha tukesi baadae
vile unanimada bae am ready to die

#CHORUS (Leteipa the King)
(nane ondoa Moja ah ah aha)
ka unapuliza moto
hebu Anika nione
(nane ondoa Moja)
ka unaosha mtoto
hebu thigitha nipone
(nane ondoa Moja ah ah aha)
unanipandisha joto
leta weeedah nichome
(nane ondoa Moja)
nisahau Niko msoto
zikirarika nishone

#HOOK ( Bonnie winsome)
wine fi dih beat
jiggle Fi dih beat
spin Pon dih beat
giving sweet kinda love
gal you make it lit
vile unakil
you do it like a drill
vile love unaseal

Watch Leteipa The King Nane Ondoa Moja feat Bonnie Winsome video

Facts about Nane Ondoa Moja

When was Nane Ondoa Moja released?


Nane Ondoa Moja is first released on January 17, 2022 as part of Leteipa The King's album "Teipas Tales" which includes 18 tracks in total.

Which genre is Nane Ondoa Moja?


Nane Ondoa Moja falls under the genre Worldwide.
Hottest Lyrics with Videos
ffddefa9c1af083be0903c2816bf8a1f

check amazon for Nane Ondoa Moja mp3 download
these lyrics are submitted by Kajiadoboy
Record Label(s): 2022 Leteipa Kelvin Music
Official lyrics by

Rate Nane Ondoa Moja by Leteipa The King (current rating: 7.36)
12345678910

Meaning to "Nane Ondoa Moja" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts