Akoth twitter

AKOTH

- Kenya Naipenda Lyrics

Kenya naipenda nchi yangu,
Kenya najivunia nchi yangu,
Kenya nafurahia nchi yangu,
Kenya nashangilia nchi yangu,

Kenya naipenda nchi yangu
Kenya ina mali tele tele
Kenya nashangilia nchi yangu
Kenya yapendeza kweli kweli iii

Nashukuru mimii ni mkenya

Kenya ina mengi yafurahisha,
Milima mabonde wanyama wa porini,
Makabila arobaini na mawili,
Wakenya wanapendeza kote kote,

Wajaluo wakalenjini wakikuyu
Wamasaii waluhya na wakamba
Wamijikenda wameru waembu na wagusii
Nawengine wakenya wote wapendeza aaa

Najivunia kuwa mkenya

Wageni karibuni Kenya yetu,
Jambo sana Kenya hakuna matata,
Kuna vitu vingi vya kufurahisha,
Kuna mahali pengi pa kutembelea,

Nairobi Masaii Mara Amboseli
Aberdare Samburu Nakuru Naivasha
Mount Kenya Shimba Hills na Tsavo Park
Amboseli Mombasa Kisumu na Malindi iii

Nafurahia kuwa Mkenya

Our visitors welcome to Kenya,
Kenya is a very beautiful country,
Kenyans are very hospitable people,
Enjoy yourselves and have a good time,

Mungu ibarikii Kenya yetu,
Mungu mbarikii rahisi wetu,
Mungu wabariki viongozi wetu,
Mungu wabariki wakenya wote,
Mungu wabariki wageni wetu,
Mungu itawale Kenya yetu uuu

Facts about Kenya Naipenda

✔️

When was Kenya Naipenda released?


Kenya Naipenda is first released on December 12, 2012 as part of Akoth's album "Kenya Naipenda" which includes 16 tracks in total. This song is the 1st track on this album.
✔️

Which genre is Kenya Naipenda?


Kenya Naipenda falls under the genre World.
✔️

How long is the song Kenya Naipenda?


Kenya Naipenda song length is 4 minutes and 02 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
2a045f6c15a31da88bac46e4e79fd18f

check amazon for Kenya Naipenda mp3 download
these lyrics are submitted by Akoth 1
Record Label(s): 2012 Akoth
Official lyrics by

Rate Kenya Naipenda by Akoth (current rating: 5.33)
12345678910

Meaning to "Kenya Naipenda" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts