Akoth twitter

AKOTH

- Nakushukuru Lyrics

Mimi sina mengi ya kukuambia Baba,
Wala sina chochote cha kukupa leo,
Ila nimekuja mbele zako sasa,
Kutoa shukrani zangu kwako sasa,

Nakushukuru baba mwenyezi Mungu
Asante sana Mungu wangu asante
Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
Nakushukuru Mungu wangu wastahili

Umetendaa majabu Baba yangu,
Siwezi kuyaeleza yote leo hi,
Kazi ya mikono yako ni kuu,
Pokea sifa na shukrani zangu Baba,

Nakushukuru Baba Mwenyezi Mungu
Asante sana Mungu wangu asante
Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
Nakushukuru Mungu wangu wastahili

Bingu na nchi na yote yaliyomo ni yako,
Dhahabu na fedha zote ni zako Baba,
Hata ingawa ninakupa sadaka zangu,
Haziwezi kuya zidisha yale umenipa,

Nakushukuru baba Mwenyezi Mungu
Asante sana Mungu wangu asante
Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
Nakushukuru Mungu wangu wastahili
Wachaa sifa na shukrani rafiki yangu,
Iwe dhabihu yako kwa Mwenyezi Mungu,
Mungu haitaji mambo mengi toka kwako,
Ila sifa na shukrani Kila mara,

Nakushukuru Baba Mwenyezi Mungu
Asante sana Mungu wangu asante
Nakusifu ewe Mwenyezi Mungu
Nakushukuru Mungu wangu wastahili

Mwenyezi Mungu, Bwana Ninakushukuru
Muumba wangu, Bwana Ninakushukuru
Umefanya mengi yoyo oo, Bwana Ninakushukuru
Mambo ya ajabu Baba, Bwana Ninakushukuru
Mimi siwezi kamwe ee, Bwana Ninakushukuru
Kuyaeleza yote leo, Bwana Ninakushukuru
Naja mbele zako sasa, Bwana Ninakushukuru
Kutoa shukrani zangu kwako oo,Bwana Ninakushukuru

Shukuruu Bwana mwenzangu
Barikii Bwana rafiki
Chezea Bwana kidogo
Pigia Bwana makofii
Pigia Bwana nderemo
Imbia Bwana Wimbo mpya lala lala lala laaa

Facts about Nakushukuru

✔️

When was Nakushukuru released?


Nakushukuru is first released on December 12, 2012 as part of Akoth's album "Kenya Naipenda" which includes 16 tracks in total. This song is the 3rd track on this album.
✔️

Which genre is Nakushukuru?


Nakushukuru falls under the genre World.
✔️

How long is the song Nakushukuru?


Nakushukuru song length is 4 minutes and 31 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
bb66263292d52877d10f6d2676b7fc85

check amazon for Nakushukuru mp3 download
these lyrics are submitted by Akoth 1
Record Label(s): 2012 Akoth
Official lyrics by

Rate Nakushukuru by Akoth (current rating: 7.88)
12345678910

Meaning to "Nakushukuru" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts