LETEIPA THE KING

- Ringtone Lyrics (feat. Shann Cool)

Verse 1{Leteipa the King}

Mhhh
Umbo lako thufutwende, ka ulizaliwa na mavazi
Fat ndondero, Hot morero
Na ungewa peremende, Ningekula mpaka
karatasi,
Kakitoweo, my kipepeo
Wengine mihogo, kwako Nala maoni
Yani mkorogo, smooth kitu laini
Na akina mbogo
Wakileta zogo
Ntawalamba gogo
Wajue we ni wa mine iih
Ndugu zangu usiwasikie
Dada zangu uwavumilie
Hawataki tufurahie Mimi na wewe
Nipikie niwafurie
Tupendane washuhudie
Baadae wasimulie. Kwa majirani

Chorus (Leteipa the King)

Sauti Kama kinanda (My ringtone)
We ndo yangu burudani (My ringtone)
We ndo Pete mi ndo Chanda (My ringtone)
Nakukabidhi usukani (My ringtone)
We ndo my queeeeeeen(My ringtone)
All I neeeeeeeeed (My ringtone)
Aaaaaaah (My ringtone)
Mhhh (My ringtone)
Yeiyeeeeh (My ringtone)

Verse 2. {Shann Cool}
Handsome, gentle, ndume la kimasai
Future husband, my best song, Wote wanakudai
Wasikulaghai, ati sikufai
Ni Mimi na wewe mpaka mwisho tukifly
Napenda ukiniita
voice Kama guitar
Sweetart,
My mister
Definitely my minister
Agiza upewe
Niguze nilewe
Ukija nyumbani naomba usichelewe
Na hawa mamwewe
Babe nielewe
Hawataki kuona tukifurahi na wewe
Nakuhakikishia,
Ntakuhudumia ,
Unawiri, unone, Wabaki wanazimia
Nawakirudia
Kukukaribia
Ntangoa mtu meno, Wajue nakuzimia

Chorus (Leteipa the King)

Sauti Kama kinanda (My ringtone)
We ndo yangu burudani (My ringtone)
We ndo Pete mi ndo Chanda (My ringtone)
Nakukabidhi usukani (My ringtone)
We ndo my queeeeeeen(My ringtone)
All I neeeeeeeeed (My ringtone)
Aaaaaaah (My ringtone)
Mhhh (My ringtone)
Yeiyeeeeh (My ringtone)

Watch Leteipa The King Ringtone feat Shann Cool video

Facts about Ringtone

✔️

Who wrote Ringtone lyrics?


Ringtone is written by Leteipa The Kingexpand Commentsadd A Commentget The Conversation Startedbe The First To Commentsign Up And Drop Knowledge .
✔️

When was Ringtone released?


It is first released on January 17, 2022 as part of Leteipa The King's album "Teipas Tales" which includes 18 tracks in total. This song is the 8th track on this album.
✔️

Which genre is Ringtone?


Ringtone falls under the genre Worldwide.
✔️

How long is the song Ringtone?


Ringtone song length is 3 minutes and 07 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
94d023d7799148947ea729c53478d0a6

check amazon for Ringtone mp3 download
these lyrics are submitted by Shanny
Songwriter(s): Leteipa the KingExpand CommentsAdd a commentGet the conversation startedBe the first to commentSign Up And Drop Knowledge
Record Label(s): 2022 Leteipa Kelvin Music
Official lyrics by

Rate Ringtone by Leteipa The King (current rating: 8.08)
12345678910

Meaning to "Ringtone" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts