play youtube video
Inama
Diamond Platnumz

DIAMOND PLATNUMZ

- Inama Lyrics (feat. Fally Ipupa)

Ayolizer

Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Alafu geuka moto
Machozi unalia
Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote (Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote
Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe Mwarabu
Penzi oyoyo
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta
Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye
Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea

Asa inama
Ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
Oya inama (inama beiby)
Basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
Asa inama (inama beiby)
Ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo

Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
Ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente
Soucis eleka wapi? chérie na ngai azali ehhh
Tango nyonso e'belaka nga Je t'aime

Baloba basilika oh
Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh!
Baloba basilika oh
Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh!
Chérie aza kitoko
Chérie aza elengi trop
Chérie aza kitoko
Chérie aza elengi trop
Parfois l'amour est compliqué mais chérie à moi est toujours romantique

Asa inama (Oh oh oh)
Ebu pinda mgongo (nakupenda mtoto)
Oya inama (bana inama) basi pinda mgongo (bébé na ngai eh)
(na lela oh ohohoh)
Asa inama
Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo

Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli
Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

Ah nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare (analilili)
Analishare lishare
Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare (yuko bwi)
Analishare lishare (silali)
Analishare lishare (oooh)

Yeah Samuel Eto'o
Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa, Tokooosss
Toza likolo, Bakokoka Té (Kokate)

Watch Diamond Platnumz Inama feat Fally Ipupa video

Facts about Inama

✔️

Who wrote Inama lyrics?


Inama is written and performed by Diamond Platnumz.
✔️

When was Inama released?


It is first released in 2019 as part of Diamond Platnumz's album "Simba" which includes 8 tracks in total. This song is the 7th track on this album.
✔️

Which genre is Inama?


Inama falls under the genres Hip-Hop, Rap.
✔️

How long is the song Inama?


Inama song length is 3 minutes and 35 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
e5feda52605272dc2d540de99cd1c30f

check amazon for Inama mp3 download
these lyrics are submitted by itunes1
Songwriter(s): Diamond Platnumz
Record Label(s): 2019 Diamond Platnumz
Official lyrics by

Rate Inama by Diamond Platnumz (current rating: 8)
12345678910

Meaning to "Inama" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts