[Instrumental Intro: Diamond Platnumz]
S2Kizzy, Baby
Huu wimbo, wimbo huu
Jeje, eh
Mm-mh
[Verse 1: Diamond Platnumz]
Joto lije nitakupepea
Nitakutunza, nitakutetea
Wanune, wavimbe, I don't care
Hawajui unacho nipea
Mpaka napagawa
Na sio mambo ya dawa
We ni mtamu mwaya, haunaga show mbaya
Ukinigusa tu nalegea, mwili wote, 'teke teke
Yaani siwezi hata kutembea, kama mtoto 'tete, tete (Ayaya)
[Hook 1: Diamond Platnumz]
Na nyuma ni Muganda (Huyu mwana)
Shepu ya ki-Tanga (Huyu mwana)
Ngozi ya Kirundi, oh (Huyu mwana)
Sura ya Kinyarwanda (Huyu mwana)
Na nywele ya ki-Somali (Huyu mwana)
Macho ya Ethiopia (Huyu mwana)
Utamu, Tanzania, oh (Huyu mwana)
Akili ni ya Kenya
[Pre-Chorus: Bien & Diamond Platnumz]
Yule anaye pinga asimame
Anaye pinga asimame
Sema ukweli wako, (Mie aka!)
[Chorus: Diamond Platnumz]
Katam tam, katam
Ka baby kangu jama
Katam tam, katam
Kashunushunu bwana
Katam tam, katam
Oh, mzuri wewe
Katam tam, katam
Umeumbika mwaya
Katam tam, katam
Ai, yo, yo
Katam tam, katam
Kisura chakе
Katam tam, katam
Ona umbo, katam
[Verse 2: Bien]
I know the [bubble sorrow]
Lakini umenivumilia
Mahaba nayasikia, mama
Nakupa mia kwa mia
Baby, you don't know
Vilе umenishikilia
Uka ni kinga wa dunia, mama
Sijui nikupe nini, dear
Nafufua wahenga
Watunge nyimbo tamu na mashairi
Mtu asije tenga
Ishaandikwa duniani na mbinguni
Mchuzi, 'we ndio flavour
Imebidi niite Mondi aje tujadili
Nikatuma mshenga
Hadi kwenyu East Africa mashariki, ayayay
[Hook 2: Bien]
Na nyuma ni Muganda (Huyu mwana)
Shepu ni ya Tanga (Huyu mwana)
Ngozi ya Kirundi, oh (Huyu mwana)
Sura ya Kigali, yeah (Huyu mwana)
Na nywele ya ki-Somali (Huyu mwana)
Na macho ya Habesha (Huyu mwana)
Forehead ni ya Kenya (Huyu mwana)
Tabasamu la Dubai
[Pre-Chorus: Bien & Diamond Platnumz]
Yule anaye pinga asimame
Anaye pinga asimame
Sema ukweli wako, (Mie aka!)
[Chorus: Diamond Platnumz]
Katam tam, katam
Ka baby kangu jama
Katam tam, katam
Kashunushunu bwana
Katam tam, katam
Oh, mzuri wewe
Katam tam, katam
Umeumbika mwaya
Katam tam, katam
Ai, yo, yo
Katam tam, katam
Kisura chake
Katam tam, katam
Ona umbo, katam
[Post-Chorus: Diamond Platnumz]
Sa twende po-po-po, ah biggy, biggy
Asuke rasta ama avae wigi
Jamani po-po-po, ah biggy, biggy
Utaitaka tu kujiggy, jiggy
Jamani po-po-po, ah biggy, ah biggy
Asuke rasta ama avae wigi
Nasema po-po-po, ah biggy, biggy
Utaitaka tu kujiggy, jiggy
Hey, hey, hey
[Outro: Bien & Diamond Platnumz]
Let's make a toast to my baby
East African lady
Let's make a toast to my baby
My African lady
Oh, oh
Let's make a toast to my baby, oh
My Asian baby, ah (Let's make a toast)
Let's make a toast to my baby, oh, (Oh)
My European baby, ah
Ajeje-je, mm-mm-mm
Ka-mix Lizer