NINE C


Penda Jirani Lyrics

Acha fitina
Acha kuteta jirani yako ndugu yangu
Kwa sababu shida iki kupata
Yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Acha chuki acha uongo
Ina leta matenganyo kati jirani
Tafuta masikilizano
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Mwenye anapenda ndugu yake
Ana ishi katika mwangaza
Ooh oh
Uta sema jee una penda Mungu
Kama una chuki kwa jirani
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Wewe ambae ume pata neema
Yaku sikiya mwimbo iyi badirika
Ukisha mpenda
Ata kama yeye aku pendi
Uta barikiwa na Mungu

Penda jirani jinsi unaji penda
Timiza neno la Bwana mina kuomba
Usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
Penda kwa ukweli popote unapo enda

Hottest Lyrics with Videos
58ef7675a9164fcd8bf22d2cc2aa098e

check amazon for Penda Jirani mp3 download
these lyrics are submitted by BURKUL4
browse other artists under N:N2N3N4N5

Official lyrics by

Rate Penda Jirani by Nine C (current rating: 8.25)
12345678910
Meaning to "Penda Jirani" song lyrics
captcha
Characters count : / 50