LETEIPA THE KING

- Ndoto Ya Mchana Lyrics / with translations

Ndoto Ya Mchana lyrics English translation
Letra de Ndoto Ya Mchana en traducción al Español
Paroles de Ndoto Ya Mchana traduction Française
Letra de Ndoto Ya Mchana tradução Portuguesa
Ndoto Ya Mchana songtexte Deutsche Übersetzung
Testo di Ndoto Ya Mchana tradotto in Italiano
Ndoto Ya Mchanaの歌詞 日本語訳
Ndoto Ya Mchana şarkı sözleri Türkçe çeviri
Текст песни Ndoto Ya Mchana на русском языке.
Tekst piosenki Ndoto Ya Mchana po polsku
Ndoto Ya Mchana 가사 한국어 번역
Ndoto Ya Mchana-tekst Norsk oversettelse
Lirik Ndoto Ya Mchana terjemahan bahasa Indonesia
Ndoto Ya Mchana गाने के बोल का हिंदी अनुवाद
Ndoto Ya Mchana songtekst Nederlandse vertaling
Στίχοι Ndoto Ya Mchana Ελληνική μετάφραση
Ndoto Ya Mchana-texten till Svensk översättning
เนื้อเพลง Ndoto Ya Mchana คำแปลภาษาไทย
كلمات أغنية Ndoto Ya Mchana مترجمة إلى اللغة العربية
Ndoto Ya Mchana歌詞中文翻譯
Verse 1
Niliskia tufununu, Kwamba ulipata mwingine,
Anayekupenda zaidi ya mimi, mtafunga ndoa
pengine,
Yetu ilikuwa shadow, mapenzi yenu yamekolea,
Lazima huwa Anakupa, vitu sikuwa nakupea,
Ndoto zako zote, ulizoniambia,
Naona kama kweli sasa zinatimia,
Na Sina chochote, cha kukuambia,
Ila nakonda Kweli nikikufikiria,

Hook
Sura yako umbo lako jamani eeh,
Busu na mahaba chumbani maami ,
Mawaidha yako nikiwa matatani eeh,
Nikikumbuka najiona hayawani maami

Chorus:
Nawatakia mema, (Nawatakia mema)
Nawatakia mema, (Nawatakia mema)
Nawatakia mema, (Nawatakia mema)
Basi kwaheri kwaheri kwaheri Mami (Ndoto
yangu ya Mchana)

Ingawa inaniuma, niko na furaha moyoni,
Kuona kwamba umepata, vyote ulivyokuwa
unatamani,
Naomba nipate mwaliko, wa harusi nije Nile
wali,
Nipige picha na wadau, nikupe zawadi kama
zamani
Alafu ntapeform, kama beshte yako, kale
kawimbo nilikuimbia shambani
Na nitakuinform, tunza mume wako, Japo kuna
vitu zenye ninatamani,

Hook:

Chorus
Ingawa ningependa,ungekuwa wangu pekee,
(Nawatakia mema)
Ingawa moyoni umeniachia kidonda, (Nawatakia
mema)
Namwomba Mungu, anipatie mwingine Kama
wewe, (Nawatakia mema)
Hivo kwaheri kwaheri kwaheri kwaheri mama
(Ndoto yangu ya Mchana)
Lakini ninaomba, unifanyie favour Moja
(Nawatakia mema)
Ukijifungua kama ni wa kiume,mpe jina laangu
(Nawatakia mema)
Na kama ni wa kike mpe jina la mama yangu
(Nawatakia mema)
Basi kwaheriiiiiiii (Ndoto yangu ya Mchana)

Watch Leteipa The King Ndoto Ya Mchana video

Facts about Ndoto Ya Mchana

✔️

When was Ndoto Ya Mchana released?


Ndoto Ya Mchana is first released on January 17, 2022 as part of Leteipa The King's album "Teipas Tales" which includes 18 tracks in total. This song is the 1st track on this album.
✔️

Which genre is Ndoto Ya Mchana?


Ndoto Ya Mchana falls under the genre Worldwide.
✔️

How long is the song Ndoto Ya Mchana?


Ndoto Ya Mchana song length is 4 minutes and 09 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
54edda227b135a5ec8b4f387b682783d
these lyrics are submitted by Freddy O
Record Label(s): 2022 Leteipa Kelvin Music
Official lyrics by
Rate Ndoto Ya Mchana by Leteipa The King (current rating: 7.42)
12345678910

Meaning to "Ndoto Ya Mchana" song lyrics

(1 meaning)
Jayden July 28, 2021-6:15
0

Ndoto ya mchana is a Swahili phrase meaning Day dream
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts