JUST A BAND

- Dunia Ina Mambo Şarkı Sözleri / with translations

Dunia Ina Mambo lyrics English translation
Letra de Dunia Ina Mambo en traducción al Español
Paroles de Dunia Ina Mambo traduction Française
Letra de Dunia Ina Mambo tradução Portuguesa
Dunia Ina Mambo songtexte Deutsche Übersetzung
Testo di Dunia Ina Mambo tradotto in Italiano
Dunia Ina Mamboの歌詞 日本語訳
Dunia Ina Mambo şarkı sözleri Türkçe çeviri
Текст песни Dunia Ina Mambo на русском языке.
Tekst piosenki Dunia Ina Mambo po polsku
Dunia Ina Mambo 가사 한국어 번역
Dunia Ina Mambo-tekst Norsk oversettelse
Lirik Dunia Ina Mambo terjemahan bahasa Indonesia
Dunia Ina Mambo गाने के बोल का हिंदी अनुवाद
Dunia Ina Mambo songtekst Nederlandse vertaling
Στίχοι Dunia Ina Mambo Ελληνική μετάφραση
Dunia Ina Mambo-texten till Svensk översättning
เนื้อเพลง Dunia Ina Mambo คำแปลภาษาไทย
كلمات أغنية Dunia Ina Mambo مترجمة إلى اللغة العربية
Dunia Ina Mambo歌詞中文翻譯
Oh oh
Dunia ina mambo bana
Usishangae sana, sana
Tena sana, sana (eh ehe eh)
Hata mimi nashanga bana
(Hata mimi ( nashanga bana x2)
Ukiniona waniona na aibu sana
Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana
Siku hizi naogopa kuomba bwana
Juu hata mifuko za wakora zaibaangwa sana
Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki
Nikalimwa na asali
Weka tumbo mbele wacha akili nyuma
Maiti kavalia
Walisema sikuskia, oo
Mama na baba walinighusia ewe kijana
Kuwa mwanangu jionee
Dunia ina mambo
Yao sikuyasikiza
Sasa mimi najuta
Kweli najionea
Dunia ina mambo
Hey
Chorus
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo
Nafunga bao
Niite pita dao
Ubaya ya binadamu
Ni rahisi kusahau
Changu ni chetu
Lakini Chako ni chako
Mtu wangu ah aah wacha vako
Marafiki wamekuwa manafiki bana
Najionea tena kushangaa sana
Niliacha kuwa mjinga, (nini)
Ati sasa najiringa
Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado
Walinambia kijana
Jihadhari na 'limwengu
Hao walimwengu si wazuri kwako kijana
Yao sikuyasikiza
Sasa mimi najuta
Kweli najionea
Dunia ina mambo
Hey
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo
Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana
Watakusifu -oo wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia
Na mengi kusema wewe kijana mbaya
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo
Dunia ina mambooo
Dunia ina mambo
Dunia ina mamboo
Ah aah aaah
Ah aah aaah

Watch Just A Band Dunia Ina Mambo video

Facts about Dunia Ina Mambo

✔️

When was Dunia Ina Mambo released?


Dunia Ina Mambo is first released on October 27, 2012 as part of Just A Band's album "Sorry for the Delay" which includes 15 tracks in total. This song is the 1st track on this album.
✔️

Which genre is Dunia Ina Mambo?


Dunia Ina Mambo falls under the genre World.
✔️

How long is the song Dunia Ina Mambo?


Dunia Ina Mambo song length is 4 minutes and 01 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
4e3948bd341d618367a74ca914072fed
these lyrics are submitted by itunes3
Record Label(s): 2012 Just a Band
Official lyrics by
Rate Dunia Ina Mambo by Just A Band (current rating: 7.21)
12345678910

Meaning to "Dunia Ina Mambo" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
play youtube video
Dunia Ina Mambo
Just A Band
Official page Dunia Ina Mambo video
Latest Posts