play youtube video
Bwana Yesu Ni Warehema
Eunia Simbagoye

EUNIA SIMBAGOYE

- Bwana Yesu Ni Warehema Lyrics

Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma (4)



Bwana Yesu kwanz’arituumba

Hakuna kitu aricho tunyima

Rakini sisi tukamtendea mabaya

Bwana yesu ni wahuruma



Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo

Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma



Ndugu yangu ninakushauri

Umpe Yesu maisha yako

Ayataware akuweke huru

Maana yeye ni muweza yote



Bwana Yesu ni warehema

Bwana Yesu ni waupendo
Bwana Yesu muweza yote

Bwana Yesu ni wahuruma (2)



Yeyeyeye

Mungu wamiujiza

Hakuna kama wewe

Yesu w’urukundo

Ntawuhwanye nawe

Yesu w’Imbabazi

Ntawuhwanye nawe

Tukienda Australia

Hakuna kama wewe

Tukienda America

Hakuna kama wewe

Africa nzima

Hakuna kama wewe

Tunakwabudu wewe

Hakuna kama wewe

Tunakwinuwa wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

Hakuna kama wewe

yeyeyeye

Watch Eunia Simbagoye Bwana Yesu Ni Warehema video

Facts about Bwana Yesu Ni Warehema

✔️

When was Bwana Yesu Ni Warehema released?


Bwana Yesu Ni Warehema is first released on August 01, 2010 as part of Eunia Simbagoye's album "Jesus Come" which includes 10 tracks in total. This song is the 1st track on this album.
✔️

Which genre is Bwana Yesu Ni Warehema?


Bwana Yesu Ni Warehema falls under the genres R&B, Soul.
✔️

How long is the song Bwana Yesu Ni Warehema?


Bwana Yesu Ni Warehema song length is 3 minutes and 45 seconds.
Hottest Lyrics with Videos
b7d356cdd452eb627ae728d7466642cf

check amazon for Bwana Yesu Ni Warehema mp3 download
these lyrics are submitted by Joshua Kai
Record Label(s): 2010 Eunia Simbagoye
Official lyrics by

Rate Bwana Yesu Ni Warehema by Eunia Simbagoye (current rating: 6.89)
12345678910

Meaning to "Bwana Yesu Ni Warehema" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts