NAVY KENZO

- Katika Lyrics (Feat. Diamond Platnumz) / with translations

Katika lyrics English translation
Letra de Katika en traducción al Español
Paroles de Katika traduction Française
Letra de Katika tradução Portuguesa
Katika songtexte Deutsche Übersetzung
Testo di Katika tradotto in Italiano
Katikaの歌詞 日本語訳
Katika şarkı sözleri Türkçe çeviri
Текст песни Katika на русском языке.
Tekst piosenki Katika po polsku
Katika 가사 한국어 번역
Katika-tekst Norsk oversettelse
Lirik Katika terjemahan bahasa Indonesia
Katika गाने के बोल का हिंदी अनुवाद
Katika songtekst Nederlandse vertaling
Στίχοι Katika Ελληνική μετάφραση
Katika-texten till Svensk översättning
เนื้อเพลง Katika คำแปลภาษาไทย
كلمات أغنية Katika مترجمة إلى اللغة العربية
Katika歌詞中文翻譯
[Intro: Nahreel]
Yeah yeah
No no
Nahreel on the beat

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

[Verse 1: Nahreel]
Ninamidadi ka ya rumba, eeh
Kibao kata kinyonga, ooh naa
Mfukoni namavumba, weeeh
Nungu chini linasunta, eeeh
Yani bo bo bo bo
Kananikoshaga roho ooo
Yani nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
Baby girl dance for me one time (secreto)
Miono feni kunata (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)
Zile za kibao kata (secreto)

Baby girl dance for me one time (secreto)
Miono feni kunata (secreto)
Tena jifunge na ngata (secreto)

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
(Mbbbrrrookkkee)
Katika, katikaaee
(Aaiiruubuudaani!)

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Yani katoto ka ndi, kako ndi ndi ndi
Kamekazika yani ngi ngi ngi
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii
Kana misifa shangi ngi ngi
Nilikavizia kitamboo (aah eeh)
Loe kamenasa chambo (aah eeh)
N'takapakia na mgando (aah eeh)
Kajegeje karambo (aah eeh)
Buuumbaaiii!
Kana michezo ngomani
Sindimba izombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang'ombe
Yani e e e e
Kananikoshaga roho o o o
Waga nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
Oooh yaaah, ooh nadendea
Yani siwezi kutembea
Che cheme na chechemea
Yani hadi na legea
Aki!

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

[Verse 3: Aika, Diamond]
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang'ang'ania
Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto
Nakuna Nazi kwa mkongojo (aah eeh)
Naunga mchuza wa sotojo (aah eeh)
Una la rosti rojo rojo (aah eeh)
Mikunjo Fulani wa bogojo (aah eeh)
Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
Nikalaze kwa bed kitanda (kwa geto)
Nikachezeshe samba (roketo)
Na kalivo na body kinanda (sepetu)
Tunguli zimenibamba (mobetto)
Mama

[Chorus: Nahreel]
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

Watch Navy Kenzo Katika feat Diamond Platnumz video

Facts about Katika

✔️

Who wrote Katika lyrics?


Katika is written by Navy Kenzo, diamond Platnumz.
Hottest Lyrics with Videos
14bceab398267d07681fbbd7bddf7367
these lyrics are submitted by itunew3
Songwriter(s): Navy Kenzo, Diamond Platnumz

Official lyrics by
Rate Katika by Navy Kenzo (current rating: 8.64)
12345678910

Meaning to "Katika" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
play youtube video
Katika
Navy Kenzo
Latest Posts