play youtube video
Mwanzo Na Mwisho
Kanji Mbugua
Mwanzo Na Mwisho video

KANJI MBUGUA


Mwanzo Na Mwisho Lyrics

[Verse]
Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi
Katika masononeko nikamlilia Bwana
Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu

[Bridge]
Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Bridge]
Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah
Transpose to Key of F

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah

[Chorus]
Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro]
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah

Watch Kanji Mbugua Mwanzo Na Mwisho video
Hottest Lyrics with Videos
eed1440b290579979d7ecbc8a79c72a7

check amazon for Mwanzo Na Mwisho mp3 download
these lyrics are submitted by BURKUL4

Official lyrics by

Rate Mwanzo Na Mwisho by Kanji Mbugua (current rating: 8.40)
12345678910
Meaning to "Mwanzo Na Mwisho" song lyrics
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts