ANGELIQUE KIDJO

- Malaika Lyrics

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika

Watch Angelique Kidjo Malaika video

Facts about Malaika

When was Malaika released?


Malaika is first released on March 03, 1992 as part of Angelique Kidjo's album "Logozo" which includes 10 tracks in total. This song is the 4th track on this album.

Which genre is Malaika?


Malaika falls under the genre Dance.
Hottest Lyrics with Videos
0aa7b94e7be7e5c22be1c8f84899de73

check amazon for Malaika mp3 download
these lyrics are submitted by itunes3
Record Label(s): 1991 Island Records S A
Official lyrics by

Rate Malaika by Angelique Kidjo (current rating: 8.11)
12345678910

Meaning to "Malaika" song lyrics

captcha
Characters count : / 50
Latest Posts