play youtube video
Nitakukumbuka
Diamond Platnumz

DIAMOND PLATNUMZ


Nitakukumbuka Lyrics

Verse 1
Ooooh
Ah
Ale tate tate
Ah
Kinachoniuma ni mazoea
Kunifanya nikeshe usiku na mchana
Ah
Au mate au mate
Ah
Mbele na nyuma nikingojea
Huenda ikabadili mfupa kuwa nyama
Ooh siri yangu siri
Bado natunza iwe yangu
Siri yangu
Japo kuwa natamani kusema
Wachache
Bado naisubiri
Mola hajanipa zamu yangu
Aah
Huenda utanikumbuka siku unifuate
Ah
Moyo kama nguo ukausasangua
Kwa moshoga zako
Ukaacha funguo
Kwa kujishebetua ukaenda zako
Moyo kama nguo ukausasangua
Kwa moshoga zako
Ukaacha funguo
Kwa kujishebetua ukaenda zako

Chorus
Aah
Rudi mama eeh
Nakukumbuka
Nakukumbuka eeh
Nakukumbuka
Mwenzako silali eeh
(x4)

Verse 2
Ah
Niacheni mie
Kinachoniuma ni mazoea
Mie
Siwezi kuficha nimekuzoea
Mie
Kinachoniuma ni mazoea
Mie
Siwezi kuficha nimekuzoea
Hali yangu si shwari
Mda wowote huenda naja (huenda naja)
Fanya uje na daktari
Tena ikibidi waganga (waganga)
Na matafuta hodari
Kutoka binga na tanga
Wale nguli machachali
Wapiga ndele kwa vanga
Ooh ooh
Hizi furaha za duniaa
Mamaaa
Ziko tangu vile iliaa
Mamaaa
Njoo nakusubiriaa
Mamaaa
Ona hata nakuimbiaa
Mwenzako silali

Chorus
Aah
Rudi mama eeh
Nakukumbuka
Nakukumbuka eeh
Nakukumbuka
Mwenzako silali eeh
(x4)
(x2)

Watch Diamond Platnumz Nitakukumbuka video
Hottest Lyrics with Videos
2a2213130c2e6640432d5a7943ac3d87

check amazon for Nitakukumbuka mp3 download
these lyrics are submitted by BURKUL4

Official lyrics by

Rate Nitakukumbuka by Diamond Platnumz (current rating: 8.19)
12345678910
Meaning to "Nitakukumbuka" song lyrics
captcha
Characters count : / 50
Latest Posts